Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi akiwaongoza baadhi ya Wateja wa Benki hiyo ‘kujisevia’ futari wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa wateja wake iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
baadhi ya Wageni walioalikwa kwenye hafla hiyo ya ftari wakijisevia futari iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa wateja wake iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (mwenye kilemba) akipata ftari pamoja na wageni mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo ya ftali iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maafisa wa Benki ya Posta wakipata ftari pamoja.

Baadhi ya wageni.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza machache baada ya hafla hiyo ya ftari iliyoandaliwa na benki yake kwa wateja wao.
Mmoja wa wateja wa benki ya Posta akitoa shukrani kwa niaba ya wateja wengine wa benki hiyo.
pongezi.










postal bank ,you are very far behind..please wake up.!!!
ReplyDeleteHizi zote ni Danganya toto tu ya kuwahadaa waislamu kuhusu suala la sensa. Hatushiriki Sensa mpaka kipengele cha dini kiwekwe maan wenyewe si wanajua idadi ya waislamu na wakristo sasa ya nini. Futari kwa nini wasichukue wahitaji ambao ni watoto mayatima, masikini na mafukara. Wote waliopo humu wanauwezo wa kuangusha Draft (Mboga saba kila mlo)
ReplyDeleteMkitaka kufanya mambo ya kiislamu mufuate na taratibu zake, futari gani hiyo inachanganya wanawake na wanaume pamoja?
ReplyDeletekwani kuna ubaya gani kwa kuwachanganya wanawake na wanaume?Mbona watu wanaokwenda kuhiji Makka wanachanganyika wanaume kwa wanawake?Wewe mdau acha itikadi zako za kijinga!
ReplyDelete