HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 8, 2012

Waziri Mkuu alipotembelea Maonyesho ya Sabasaba




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kampeni  ya  kimkoa ya matumizi  ya  Matrekta makubwa katika kilimo mkoani Ruvuma iliyofanyika kwenye  uwanja wa zimamoto mjini Songea.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha trekta wakati alipozindua kampeni ya  kimkoa ya matumizi ya matrekta makubwa katika kilimo mkoa wa Ruvuma iliyofanyika kwenye  uwanja wa zimamoto mjini Songea.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua miche ya kahawa wakati alipotembelea shamba la katika kijiji cha Likopelo wilayani Songe vijijini wakati wa sikukuu ya Sabasaba.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma wakati  alipozindua kampeni  ya kimkoa  ya matumizi  ya matrkta makubwa katika kilimo mkoani Ruvuma iliyofanyika kwenye uwanja wa zimamoto mjini Songea. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad