Ujumbe wa Kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, Ajira, Nidhamu na maendeleo ya watumishi kutoka Bunge la Tanzania wakiwa katika kikao cha pamoja na wenyeji wao katika Bunge la Thailand.
Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akichangia jambo wakati wa kikao cha Pomoja Kati ya wajumbe wa Kamati Ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge kuhusu Ajira, Nidhamu na Maendeleo ya Watumishi kilichofanyika Katika Bunge la Thailand.
Wajumbe hao wakipata maelezo kutoka kwa mtumishi wa bunge la Thailand. kutoka kushoto Mhe. Freeman Mbowe, Mhe. Godfrey Zambi, Mhe Saleh Pamba, nyuma ni Mhe Balozi Abdulcisco Mtiro, aliyesimama ni Ndg Dismas Assenga afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia.
wakiendelea kupata maelezo.
Ujumbe wa Kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, Ajira, Nidhamu na maendeleo ya watumishi kutoka Bunge la Tanzania ukiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Bunge la Thailand.
Ukumbi wa Bunge la thailand unavyoonekana.Picha zote na Mdau Emmanuel Mpanda wa Bunge







No comments:
Post a Comment