HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 16, 2012

Usajili wa magari kwa kutumia majina waanza TRA

 Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato Tanzania imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini ni gari la kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina la mmiliki wake.Picha na Libeneke la http://wotepamoja.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad