Tuesday, July 17, 2012

usafiri kigamboni

Wanafunzi wanaosoma shule za Sekondari za Kigamboni wamekua wakitumia usafiri wa aina hii kama usafiri wao wa kawaida kutokana na kulipishwa nauli sawa na watu wazima katika daladala na wasipofanya hivyo basi hawasafiri.
Boda boda za mizigo nazo ni miongoni mwa usafiri wa bei rahisi kwa wafanyabiashara wa Kigamboni.

No comments:

Post a Comment