Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akimkabidhi zawadi Mtoto Omary Juma alieibuka mshindi wa jumla wa kucheza muziki katika hitimisho la Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.Tamasha hilo limemalizika mwishoni mwa wiki hii.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akijiandaa kumkabidhi zawadi yake Mtoto Seif Kheri ambaye aliibuka Mshindi wa Pili wa Muziki wa Kufoka foka (Hip Hop) katika hitimisho la Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.Tamasha hilo limemalizika mwishoni mwa wiki hii.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akimkabidhi zawadi Mtoto Abou Makame alieibuka mshindi wa kwanza wa kuimba nyimbo za muziki wa kufoka foka (Hip Hop) katika hitimisho la Tamasha la Wazi la Filamu nchini lililokuwa limedhaminiwa na Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt.Tamasha hilo limemalizika mwishoni mwa wiki hii.Kulia ni Mkurugenzi wa Sofia Productions ambao ndio walioandaa Tamasha hilo la Wazi la Filamu,Mussa Kisoky.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akitoa shukrani zake kwa wakazi wa Jiji la Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Tamasha hilo.
Mratibu wa Tamasha hilo,Mussa Kisoky nae alitoa shukrani zake.
Watoto wakitoa burudani ya kusakata dansi la nguvu.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah na Mkurugenzi wa Kampuni ya Sofia Productions ambao ndio walioandaa Tamasha hilo la Wazi la Filamu,Mussa Kisoky wakiwa pamoja na Watoto waliotinga nne bora ya kusakata Dansi kwa watoto.
Wakazi wa Jiji la Tanga wakifatilia Burudani iliyokuwa ikitolewa na vijana wa Ice Cream Dances muda mfupi kabla ya kutangazwa kumalizika kwa Tamasha hilo la Wazi la Filamu nchini,lililokuwa likifanyika kwenye viwanja vya Tangamano,jijini Tanga.












No comments:
Post a Comment