Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam,Fahamu Lubwaza (kulia) akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa ajili ya kuiunga mkono.
Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam,Fahamu Lubwaza (kulia) akiomba dua baada ya kufuturu na waislam wenzake Dar es salaam jana.futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa kuiunga mkono
Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa na kuiunga mkono
No comments:
Post a Comment