Assalam alaykum,
Natumai unaendelea vyema na Mfungo Mtukufu wa Ramadhan,na najua sio wote wanaofata wasah wa kusoma au kusikiliza Qur'aan hasa kutokana na uwingi wa majukumu waliyonayo.Hivyo wanaweza kusoma au kusikiliza Qur'aan kupitia mtangao huo hapo chini.
Fungua hiyo website http://tanzil.info/. Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake.

No comments:
Post a Comment