Friday, July 13, 2012

Simba na Yanga zakabidhiwa vifaa vya micheno la Mdhamini wa Kilimanjaro Premium Lager

Kaimu Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi Meneja wa Yanga, Hafidh Suleiman vifaa kwa ajili ya mashindano ya Kagame Cup yanayoanza leo. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es salaam jana.
Kaimu Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Simba Godfrey Nyange, vifaa kwa ajili ya mashindano ya Kagame Cup yanayoanza leo. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es salaam jana.
Wachezaji, Paulo Ngalema wa Simba (kushoto), Athumani Iddi (katikati) wa Yanga na Abdallah Juma wa Simba (kulia) wakiwa wamevalia jezi zilizotelewa na Kilimanjaro Premium Lager kwa ajili ya Kombe la Kagame. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es salaam jana (Picha: Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment