nani kuibuka Redd's Miss Pwani leo??
Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Pwani wakiwa katika pozi la picha katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Apaikunda,iliyopo Kibaha maili moja.Warembo hawa usiku wa leo wanaingia katika kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika kwenye ukumbi wa hoteli hiyo.
Hawa ni wa Pwani au Dar? mbona hatuoni wenyeji wa Pwani!!!!!! Mh
ReplyDelete