HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 7, 2012

Redd's Miss Tanga 2012 ni Theresia Kimaro

Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga leo.
Washiriki walioingia tano Bora.
Washiriki wote stejini.
Shoo ya warembo walioshiriki Miss Tanga 2012.
Washereheshaji wa Shindano hilo usiku huu.
AT na madansa zake wakitoa shoo.
Malkia wa Mipasho,Khadija Kopa nae akipagawisha.
Majaji wa leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad