Wednesday, July 25, 2012

Raundi abauti isiyo Rasmi makutano ya Mtaa wa Living Stone na Kipata Kariakoo jijini Dar

Shimo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa Living Stone na Kipata Kariakoo jijini Dar es Salaam na kufanya raundi abauti isiyo rasmi limekua likisababisha usumbufu kwa madereva wa magari yanayokatiza kwenye makutano hayo kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

No comments:

Post a Comment