HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 5, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo July 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad