HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 16, 2012

Ndovu Special Malt na muonekano mpya

Meneja wa Bia ya Ndovu special Malt,Pamela Kikuli (katikati) akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kushuhudia uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo uliofanyika katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya Monder Selection
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzanian (TBL) wakitazama sehemu ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo uliofanyika katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzanian (TBL)
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushila Thomas (kulia) akifurahia na wadau wengine kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam hivi karibuni ambapo bia hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya Monder Selection
Wadau mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakijiburudisha wakati wa hafla ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo uliofanyika katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad