Tuesday, July 24, 2012

Muhogo ukipelekwa sokoni

 Katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,Mihogo ni moja ya vyakula vinavyotumika sana kama Futari kwa watu wanaofunga.hivyo kamera yetu iliweza kumnasa mdau huyu akiwahisha mihogo sokoni.

No comments:

Post a Comment