hii ni crime mwalimu aliyotoa hii adhabu anafaa kufikishwa mahakamani,adhabu hizi zilinipata mimi nikifikiria mtoto wangu akifanyiwa hivi mwalimu atanikoma
Jamani hiyo ni shule gani yenye adhabu ya kishenzi namna hiyo. Na sijui watoto hao walibebeshwa tofali za kichwa kwa muda gani!!!! na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan sijui kama aliyetoa adhabu alifikiria kama kuna mtoto amefunga Ramadhan.
Yeyote aliyetoa hiyo adhabu anastahili kukemewa na Wizara husika. Blog hii inasomwa na watu mbalimbali. Wazungu wakiona watoto wetu wanavyoteswa namna hii wanatuonaje?? Imefika pahala inabidi tubadilike.
hii ni crime mwalimu aliyotoa hii adhabu anafaa kufikishwa mahakamani,adhabu hizi zilinipata mimi nikifikiria mtoto wangu akifanyiwa hivi mwalimu atanikoma
ReplyDeleteJamani hiyo ni shule gani yenye adhabu ya kishenzi namna hiyo. Na sijui watoto hao walibebeshwa tofali za kichwa kwa muda gani!!!! na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan sijui kama aliyetoa adhabu alifikiria kama kuna mtoto amefunga Ramadhan.
ReplyDeleteYeyote aliyetoa hiyo adhabu anastahili kukemewa na Wizara husika. Blog hii inasomwa na watu mbalimbali. Wazungu wakiona watoto wetu wanavyoteswa namna hii wanatuonaje?? Imefika pahala inabidi tubadilike.