Boti ya Kikosi cha KMKM ikiwa eneo la tukio.
-Raia wa kigeni waliookolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
Abiria waliyookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar.
Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake Baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo Bandarini.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad akiwa katika hali ya huzuni Baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona Majeruhiwaliookolewa katika Meli iliozama ya Star Gate wakiteremka hapo Bandarini Zanzibar.
hali ilivyo bandari ya Zanzibar.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad akizungumza na waandishi wa habari.
Majeruhi wakipatiwa Mablangeti kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kuokolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
Baadhi ya wafanyakazi wa Huduma ya kwanza wakiwa kwenye Bandari ya Zanzibar tayari kwa kutoa msaada.Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar

mungu awapumzishe pema peponi waliotangulia mbele yake na awasamehe madhambi yao. na wale waliookolewa na ambao bado hawajaokolewa awape uwezo wa kuvumilia misukosuko ya baharini na majeruhi awaponeshe haraka kwa uwezo wake na matakwa yake. wainahu alaaaa kuli shay, in qadiyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyru
ReplyDeleteI feel sad for the lives lost of innocent people. What happens if Port Authority declare as a bad weather and stop all the vessels from leaving the ports in DAR and ZNZ. Lives would be saved, lakini after the ajali kutokea, we blame it on the weather, did nobody check the weather before kupakia watu on the boat?
ReplyDeleteOur friends in other countries cancel flights due to bad weather, we should do the same. From Nungwi to Stone Town, you get stopped for 5 to 6 times by police who waste your time for no reason, kwanini nobody was there to check at the Port, wakati MV Spice Islander sinked in Sept 2011, they should have been extra careful and learnt from the mistake!
Jamani, Tanzania wake up and raise questions as the big guys dont get affected, they travel on planes, it is the small people who use the boats!