Matawi ya Miti yaanza kupunguzwa jijini Dar,kupisha nyaya za umeme
Wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala jijini Dar wakiendelea na shughuli yao ya kukata matawi ya miti yaliyozidi ili kupisha nyaya za umeme ambazo zipo jirani sana na miti hiyo humu zingine zikiwa zimezingirwa na matawi hayo.
No comments:
Post a Comment