Sunday, July 15, 2012

mashindano ya Taifa ya Safari Pool yaendelea jijini dar

Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Haji Hussein akicheza dhidi ya mpinzani wake Fred Mushi (hayupo pichani) wakati wa mashindano Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea jijini.

No comments:

Post a Comment