Gari ya Kubeba abiria,aina ya Land Rover 109 ikiwa safarini.
Wakazi wa Mji wa Kilombero,wakiwa pembezoni ya Daraja kupisha Magari yaliyokuwa yakivuka kwenye Daraja la Mto Ruaha eneo la Kidatu.
Daraja la Mto Ruaha,eneo la Kidatu.
Milima ya Udzungwa.
Jamaa na Tairi la treka wakati akenda kuzipa pancha.
Nyomi la nguvu kwenye PowerTiller.
sheli ya Mafuta aina la Petroli.
Kituo cha Mang'ula.
Madaraja mengi ya njia hii ni yakupita gari moja tu,kama lionekanavyo hili.
Masharo wa baadae.
Mgahawa wa Chakula
Huu ndio usafiri mkubwa na Rahisi katika mji huu wa Kilombero.
Kina Bibi wakitoka Shambani.

















No comments:
Post a Comment