HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 9, 2012

KIVULE VETERANI NA KITUNDA VETERANI WATOSHANA NGUVU KWA BAO 1-1

 Mchezaji wa timu ya Kitunda Veterani (nyekundu) akichuana na mchezaji wa Kivule Veterani katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Kitunda, Ukonga, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Kikosi cha Kivule Veterani
Wachezaji wa Kivule Veterani na Kitunda Veterani wakiwa katika picha ya pamoja baada mchezo kumalizika kwa kufungana bao 1-1.
Kikosi cha Kitunda Veterani

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad