Mzee wa Mtaa kwa Mtaa leo kahamia shambani ambako aliimalizia siku yote ya jumapili kwa kupiga jembe.
Hapa akipalilia Shamba.
Maandalizi ya Mlo wa Mchana.
Wakati Msosi ukiendelea kuiva huko jikoni,ni mwendo wa Kukwea Mnazi ili kufua madafu ya kuja kushushia msosi kwa baadae.
Dafu likifuliwa.
Linaonjwa kwanza kama liko poa.
Maembe.
Safari ya kwenda Dukani kununua Dawa ya Jiko.
Baadae alirudi na akapiga msosi wake na kuendelea na libeneke kama kawa.












ACHA KUTUTANIA WEWE.WANALIMA HUKU WAMEVAA JEANS?
ReplyDelete