Saturday, July 21, 2012

kihifadhia taka hiki kimesahaulika au ndio mmeamua tu kuuchuna??

Mkazi wa Jiji la Dar akipita mbele ya kihifadhia Taka ambacho kimefurika taka hizo ambazo kwa muonekano wa haraka haraka,ni kama hazijachukuliwa na wahusika kwa kipindi kirefu.sasa sijui wamekisahau au ni namna gani.hapa ni usoni kabisa mwa Chuo DIT,Akiba jijini Dar.

No comments:

Post a Comment