Askari wa Jeshi la Magereza akijaribu kuwazuia wananchi wenye hasira kali waliokuwa wakimtembezea kichapo kibaka (alielala chini) ambaye alidaiwa kutaka kukwapua simu ya mtu mmoja aliekuwa akipita njia katika Barabara ya Samora Avenue,nje ya Jengo la PPF House.
Mdau akionyesha Hirizi aliyokuwa amevaa Kibaka huyo ambayo inasemekana ilikuwa ni Kinga yake.



No comments:
Post a Comment