Tuesday, July 24, 2012

KAMBI YA ILALA YAENDELEA KUMFUA BONDIA IBRAHIMU CLASS KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE IDDI PILI

Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli (katikati)  akiwaelekeza mabondia Yohana Robert (kushoto) na  Ibrahimu Class jinsi ya kutupa masumbwi kwa mpizani kwa kunyoosha mkono.Class anajiandaa na mpambano wake na Simba Watundulu siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam.

Bondia Ibrahimu Class kushoto akipambana na Yohana Robart wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambnano wake na Simba Watundulu utakaofanyika siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond JubleePicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment