Samwel Kisinda mkazi wa Iringa akifurahia mara baada ya kuwa mshindi wa awali wa Castle lager super fan wa shindano la kumtafuta mwakilishi wa Tanzania katika kuunda timu ya ushangiiaji ya Afrika United itakayokuwa nchini Afrika Kusini chini ya Bia ya Castle Lager.
Nuru Kaduma mkazi wa Iringa.
Mramba Mshana mkazi wa Iringa
Anthon Kindole mkazi wa Iringa.
Rehema Pazzi mkazi wa Iringa.



No comments:
Post a Comment