Sunday, July 15, 2012

FENI LA MTAA....

 Katika pita pita zangu za Mtaa kwa Mtaa,leo nimeibukia mitaa ya Kinondoni Block 41 na kukuta Bonge moja la feni likiwa limefungwa mtaani ili kuendelea kunogesha swala zima la upepo mwanana mtaani hapo.

No comments:

Post a Comment