HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 24, 2012

Castle Lager Super Fan aendelea kutafutwa Mkoani Iringa

Samwel Kisinda mkazi wa Iringa akifurahia mara baada ya kuwa mshindi wa awali wa Castle lager super fan wa shindano la kumtafuta mwakilishi wa Tanzania katika kuunda timu ya ushangiiaji ya Afrika United itakayokuwa nchini Afrika Kusini chini ya Bia ya Castle Lager.
Nuru Kaduma mkazi wa Iringa.
Mramba Mshana mkazi wa Iringa 
Anthon Kindole mkazi wa Iringa.
Rehema Pazzi mkazi wa Iringa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad