Bondia Ibrahimu Class (kulia) akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam.Class anajitarisha na pambano lake na Simba Watundulu litakalofanyika Siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar,Bondia huyo ambaye yupo chini ya Makocha Habbu Kinyogoli pamoja na Rajabu Mhamila 'Super D' anategemea kuonesha ufundi wa ali ya juu katika mchezo wa masumbwi nchini.
No comments:
Post a Comment