Sasa kwa mfano ajali hii,huyu Dereva alikuwa anawaza kitu gani mpaka akaamua kutaka kulipitisha gari lake hili kwenye Daraja la mbao ambalo wananchi wa eneo hili waliliweka kwaajili ya wao kuvuka kwenda ng'ambo ya pili??sasa hapa keshawakosesha kivuko.Ajali hii ilitokea siku za hivi karibuni katika Mto wa Jianga,uliopo maeneo ya Ilolo Jijini Mbeya.Picha na Mbeya Yetu Blog.
Yaani hapa kila mtu anasikitikia Daraja na wala si gari maana maji yakijaa hapa hakuna anekwenda ng'ambo ya pili.




No comments:
Post a Comment