HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 20, 2012

Warembo wa Redd's Miss Dar InterColledge 2012 waendelea na mazoezi yao

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Dar Inter Collodge 2012, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Dar Inter Collodge 2012, wakifanya mazoezi ya wimbo wao wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad