Washiriki wa shindano la Redd's Miss Mara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika ufukwe wa Ziwa Victoria, mkoani Mara baada ya mazoezi yao jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa, Juni 29, 2012 kuchuana vikali kuwania taji la mkoa wa mara na tiketi ya Kushiriki shindano la Redd's Kanda ya Ziwa.
Thursday, June 28, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment