Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini, James Bokela (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Massawe Glosery, Jacob Massawe (wa pili kulia) ufunguo wa Bajaj yenye thamani ya sh. mil. 4.7, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kanda hiyo kwa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Kibaha,Pwani juzi.Kulia ni mke wa Massawe, Anna Massawe.
Wafanyakazi wa TBL, wakiangalia Ghala la kisasa la kuhifadhia bidhaa lililojengwa na kampuni ya Massawe Glosery eneo la Mwendapole, wilayani kibaha.
Wafanyakazi wa TBL, wakiwa ndani ya ghala hilo.

No comments:
Post a Comment