Mashindano ya urembo ya REDD’S MSS TANZANIA 2012 yanazidi kushika kasi na yameonyesha msisimko wa hali ya juu na kuonyesha ubora wa washiriki katika msimu huu wa mashindano.
Kituo cha Ubungo ambacho kilikuwa kimefutwa hapo nyuma na katika mwaka huu wa mashindano kimerudishwa kutokana na kuwa maalufu kiasi cha kutoa warembo walio bora na hata mwaka 2004 kilipomtoaRedds MISS TANZANIA “FARAJA KOTTA”.
MISS UBUNGO 2012 inatafanyika siku ya ijumaa ya tarehe 29 / 06 / 2012 katika HOTEL YA LANDMARK iliyopo UBUNGO .
Jumla ya warembo kumi na NNE wamekwisha jitokeza kuwania taji hilo na pia mazoezi yanaendelea hapo hapo katika Hotel LANDMARK chini ia mwalimu wao BEATRICE JOSEPH mrembo aliyewai kutwa mataji mbali mbali ikiwa ni pamoja na MISS MWANZA 2005, MISS RUVUMA 2006 pia mwaka huo huo akawa MISS KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI nafasi iliyompa njia ya kushiriki fainali za Taifa.
Majina ya washiriki waliojitokeza ni kama ifuatavyo:-
1.ADAIYA AMHMED 2. MWATUMU MUSTAPHA
3.SUZAN STANLEY 4.SARAHY PAUL
5.AISHA MOHAMED 6.ZENA ALLY
7.ZAWADI GULABA 8.DORICE CHILONGOLA
9.PRINCES LEMMY 10.MWANAID MOHAMED
11.NASRA DAFFA 12SHAKILA MOHAMED
13.DARINE MMRY 14MWASITI JUMA.
No comments:
Post a Comment