Redd's Miss Dar Indian Ocean,Diana Hussein akifurahia taji lake hilo muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi.Shindano hili limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho,Kijitonyaka jijini Dar.
Washiriki wa Shindano La Redd's Miss Miss Dar Indian Ocean waliofika tano bora wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo,Diana Hussein (katikati) waliosimama kutoka kushoto ni Jenifa Mani, Zulfa Vuai, Kudra Lupad na Jannth Mfinanga.
Tano Bora.
Washiriki wote stejini.


No comments:
Post a Comment