mchezaji wa timu ya mbeya,stanley Kadumu akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa msimamizi wa michezo ya AirtelRising Stars kutoka DRFA Daudi Kanuti mara baada ya kufunga mabao 3 katika mechi ya nusu fainali thidi ya timu ya Ilala
Wachezaji wa timu ya mbeya wa michuano ya Airtel Rising Stars wakifurahia ushindi walioupata leo baada ya kuifunga timu ya Ilala.



No comments:
Post a Comment