HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 21, 2012

Kongamano la Michezo Jijini dar leo


Mkurugenzi wa British Council nchini, Bibi Sally Robinson akiongea na Wadau wa michezo (hawako pichani) wanaoshiriki katika Kongamano la Michezo kwa Maendeleo na Amani leo katika Hoteli ya Blue Pearl, Jijini Dar es Salaam.
 Wadau wa michezo wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya mada mbalimbali katika Kongamano la Michezo kwa Maendeleo na Amani lililoanza leo katika Hoteli ya Blue Pearl, Jijini Dar es Salaam. Aliyekaa mbele ni Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Sethi Kamuhanda. Kongamano hilo  la siku mbili limeandaliwa  na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Taasisi za Right To Play na British Council kwa lengo la kuwapa fursa wadau wa Michezo kubadilishana uzoefu na kujadili ni jinsi gani michezo inavyoweza kutumika kuhamasisha maendeleo na amani katika jamii.  (Picha zote na Concilia Niyibitanga- WHVUM)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad