HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 29, 2012

Kona za Mlima Kitonga na Milima ya Iyovi Mkoani Iringa

 Hii ni Moja ya kona kali zana zilizopo kwenye Mlima wa Kitonga Mkoani Iringa.
 Basi likiteremsha Mlima Kitonga kwa utaratibu kabisa,kwa ukijifanya ni mwenye haraka basi utawahi kufika bondeni mapema zaidi.

 Hata kwenye kupishana lazima mpishane kwa umakini.
 Hizi ni kona za Miliya Iyovi iliyopo maeneo ya Ruaha mkoani Iringa.
 Kitu cha Mfano wa herufi Z
Kwa mbaaali kule upande wa juu ni Barabara na chini ni Mto Ruaha ukiendelea kusafirisha maji.hizi ni baadhi tu ya picha za maeneo mbali mbali ya nchi yetu hii takatifu ambayo imejaaliwa kina aina ya vivutio.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad