Maana kama huyu anaona kabisa kuwa njia hii ni ndogo halafu analeta mbwembwe na lori lake hili matokea yake anafunga njia kabisa kama inavyoonekana hapa.huyu nae sijui hata alikuwa anataka kufanya nini hapa.!!!!!
No comments:
Post a Comment