HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 19, 2012

Diamond,Ommy Dimpoz,Shetta,Chid Benz wafunika Tamasha la WAJANJA wa Vodacom Tanzania

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay Wamitego toka kundi la mkong'oto jazz band akionyesha umahiri wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz kushoto akibadilishana mawazo na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Kevini Twissa wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Mwanamziki wa kizazi kipya Sheta na mwenzake wakipagawisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad