HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 18, 2012

Castle Lager Super Fan yazinduliwa kwa shangwe jijini Dar

 Ukumbi wa Meeda,Sinza jijini Dar ukiwa umepambwa na kupamboka wakati wa uzinduzi rasmi wa Castle Lager Super Fan.
Meneja wa Bia ya Castle Lager,Kabula Nshimo (kulia) akishiriki kucheza mpira wa meza na Meneja Maendeleo wa Castle Lager,Sanele Khumalo wakati wa Uzinduzi huo wa Castle Lager Super Fan,katika ukumbi wa Meeda,Sinza jijini Dar mwishoni mwa wiki.
 Wadau waliojitokeza kwenye uzinduzi huo wakishindana kucheza game ya mpira wa miguu kwa kutumia TV la kisasa kabisa. 
 Wadau wa Castle Lager Super Fan wakisakata boli la meza katika uzinduzi huo.
 Huu ndio mchezo uliowavutia wengi waliohudhulia sherehe hiyo,huu ni mchezo wa kuonyesha umahiri wa kupiga penati.na hali ilikuwa kama inavyoonekana pichani.
 Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad