HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 21, 2012

Castle Lager Super Fan aendelea kutafutwa jijini Dar

Baadhi ya mashabiki wa soka wa vilabu vya Ligi Kuu ya nchini Uingereza,waliojitokeza kwenye kushiriki shindano la kumsaka shabiki bomba kwenye shindano la Castle lager Super Fan wakiendelea kujitokeza kwa wingi kwenye usajili wa kumpata Super Fan,ulioendelea kufanyika katika maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaa.Mshindi wa shindano hilo atakwenda nchini Afrika ya Kusini kushuhudia Fainali za Mataifa ya Afrika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad