Washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu vya jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Das wa DAS wa Kinondoni,Bernard Patrice na Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa Tuzo hizo,Consolata Adam (walio katikati) zilizofanyika kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha Ardhi,jijini Dar
Washindi wa Tuzo hizo za Excel With Grand Malt wakiburudika baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Das wa DAS wa Kinondoni,Bernard Patrice (pili kulia) akikabidhi cheti kwa Muwakilishi wa Chuo Kikuu cha Ardhi.
Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Das wa DAS wa Kinondoni,Bernard Patrice (pili kulia) akikabidhi cheti kwa Muwakilishi wa Chuo cha DUCE.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva wenye mahadhi ya kufoka foka (HipHop),Fareed Kubanda a.k.a Fid Q akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa bonanza la utoanji vyeti kwa Washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu vya jijini Dar es Salaa.
No comments:
Post a Comment