Mshindi wa taji la Redds Miss Tabora 2012,Sarah Paul akiwa katika pozi la picha mara baada ya kufanikiwa kutawazwa mshindi wa taji hilo na kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kanda kuelekea kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania 2012.Mshindi wa Pili alikuwa ni Glory Mongi na wa tatu ni Alice Amour.
Mgeni Rasmi katika Shindano la Redd's Miss Tabora 2012 ambaye ni Katibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Stephan Bushir (katikati) akimkabidhi zawadi ya fedha tasmim Mshindi wa taji la Redds Miss Tabora 2012,Sarah Paul.Kulia ni Mratibu wa Shidano hilo,Mgalula Fundikira.
Washiriki wa Redd's Miss Tabora 2012.

No comments:
Post a Comment