HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 21, 2012

Rais Kikwete arejea nchini kutokea nchini Marekani

Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal muda mfupi baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo jioni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Marekani ambapo alishiriki katika mkutano wa G8(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad