Basi la Abiria lifanyalo safari zake kati ya Kilolo na Luwinzi,Mkoani Iringa likiwa stendi kuu ya Mabasi mkoani humo kikipakia mizigo na abiria. Nikipata Taswirazz kabla ya kuingia ndingani humo tayari kwa safari,na hili ndio Luxary pande ile.
No comments:
Post a Comment