Kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo imebahatika kuinasa nguzo hii iliyopiga mweleka mpaka chini maeneo ya Namamga,Msasani.wenyeji wa eneo hilo wanasema nguzo hii ilikula mweleka toka juzi lakini mpaka sasa bado haijafanyiwa maarifa.
No comments:
Post a Comment