Kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo iliwanasa vijana hawa maeneo ya Kinondoni Morocco,wakiwa wanapiga stori zao za hapa na pale huku wakisilizia pamba (nguo) zao zikauke ili waweze kuulamba.
No comments:
Post a Comment