Leo katika katiza katiza zangu za Mtaa kwa Mtaa,nikajikuta nimeibukia mitaa hii ya Mikocheni A kwenye njia ya kutokea Drive in kuelekea Maeneo ya Victoria Kijitonyama na kukuta na chem chem (chemba iliyobuma) hii babkubwa iliyoanza mapema leo asubuhi na kulifanya eneo hilo lote kujaa maji yanayotoka kwenye chem chem hiyo.
Chem Chem imechanganya kweli kweli.
No comments:
Post a Comment