HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 17, 2012

UCHIMBAJI KISIMA HOSPITALI YA MOROGORO

Wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji wa visima ya Mirisho Water Well Drilling wakifanya kazi ya kusafisha maji kutoka ardhini kazi ya uchimbaji kisima juzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kumalizika. Kisima hicho kilichofadhiliwa na Kampuni Bia Tanzania (TBL) kitasaidia kupunguza tatizo la uhaba wa maji katika hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad